Wadau wetu wakubwa Taasisi ya  TMAC  Tanzania  wakichukua bidhaa zetu  kutoka kiwandani kwetu kwa ajili ya kwenda   kugawa mkoani Mtwara na Lindi  ili kuendeleza  mradi wao wa hakuna wasichoweza kwa wanafunzi wa kike waliopo shuleni na wasio shuleni.