Tarehe 09 mwezi wa tatu Wentworth AFrican Foundation kwa kushirikiana na Kays Hygiene Products walifanya mafunzo ya afya ya hedhi na usafi wa watoto wa kike wakiwa shuleni (keep a girl in school)

Shule hizo ni pamoja na  Shule ya sekondari Mweminaki yenye jumla ya wanafunzi 230 na Shule ya sekondari Nandonde yenye jumla ya watoto wa kike 130.

Pia  Wentworhth AFrican Foundation walitoa pedi kwa kila mwanafunzi zitakazomsaidia kwa muda wa mwaka mmoja