Wadau wetu

Wadau wetu

Wadau wetu wakubwa Taasisi ya  TMAC  Tanzania  wakichukua bidhaa zetu  kutoka kiwandani kwetu kwa ajili ya kwenda   kugawa mkoani Mtwara na Lindi  ili kuendeleza  mradi wao wa hakuna wasichoweza kwa wanafunzi wa kike waliopo shuleni na wasio...
Wentworth AFrican Foundation Yatoa Mafunzo

Wentworth AFrican Foundation Yatoa Mafunzo

Tarehe 09 mwezi wa tatu Wentworth AFrican Foundation kwa kushirikiana na Kays Hygiene Products walifanya mafunzo ya afya ya hedhi na usafi wa watoto wa kike wakiwa shuleni (keep a girl in school) Shule hizo ni pamoja na  Shule ya sekondari Mweminaki yenye jumla ya...